SHIJA WA SHIJA "Sssaaana tuuu'
  PICHA ZA KUMWAGA | SHIJA WA SHIJA "Sssaaana tuuu' | BURUDANI | NJE YA BONGO | PESA ZAKO | FUTIKA | VITUZZZZ | JONGEA | ZINDUKA | GALACHA | WANYANGE | FUNIKA | BILINGE BAYOYO | SHIJA WA SHIJA "Saaaana tuu" | GENERIC INDEX PAGE  

KUNANI HAPAAAAH!! MBONA KILA KITU KINAHATIBIKA!!

Jina langu naitwa Shija mjukuu wa Shija mwana x-soldeir Mzee Richard. Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita jijini Dar es Salaam na kupata elimu ya msingi kwenye shule ya msingi Mbagala kuleee TMK kwa wanaume! 

 Elimu ya sekondari nilisoma Forodhani na sekondari ya juu Mkwawa, kabla ya kujiunga na Chuo cha Uhasibu Arusha kusoma kozi ya Uhasibu na kupata Stashahada ya Juu ya Uhasibu na baadaye nilijiunga Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM Dar es Saaam na kupata stashahada ya uzamili ya Usimamizi wa Fedha. Sasa hivi ninafanyakazi kwenye kampuni ya jijini Dar es Salaam nikiwa katika nafasi ya Mhasibu, lakini pia najishughulisha na kazi ninayoipenda sana ya kuandika habari! Soma gazeti la Dar Leo kila Jumamosi ukurasa wa nne usome mfululizo wa makala zangu katika mraba wa WEW NA PESA ZAKO!!

 

 

 

 

The History or Story Behind My Site (Tegemea nini kwenye mtandao huu)
Humu kutakuwa na habari za wanafunzi uliowahi kusoma nao, muziki na wanamuziki, na vingine vingi, we soma tu acha uvivu bwana!! Soma ili uvione vyooootre vilivyomo!!!!

Kumbuka soka pia imo humu, ya kibongo na hata ya nje. Bila kusahamu chama langu katika soka ni REAL MADRID

Others
My About page is also a great place to give information about others involved with my site’s topic, such as the leaders of my organization, club, or company; an ancestor; my family; and so forth.

Email Me! (Wasiliana nami kupitia)
rshijaus@hotmail.com

Links to Other Sites
rshijaus@yahoo.com



YAANI HUMU NI KUKAMUA TUU, Kamata kitu kingine