PICHA ZA KUMWAGA
  PICHA ZA KUMWAGA | SHIJA WA SHIJA "Sssaaana tuuu' | BURUDANI | NJE YA BONGO | PESA ZAKO | FUTIKA | VITUZZZZ | JONGEA | ZINDUKA | GALACHA | WANYANGE | FUNIKA | BILINGE BAYOYO | SHIJA WA SHIJA "Saaaana tuu" | GENERIC INDEX PAGE  

Burudika kijana, Yaani humu ni raha tu, makamuzi ya mwaka.

Kamua albamu hilo unalionaje, limetulia eeh. Basi humu ni futi kafutika futi na futi kafutika futi. Tapata mazungumzo yahusuyo vijana sisi.

Hizi ndizo pozi za kichokozi au siyo ( These are conflicting pouzes, is it)

I love u, keep on watching Madentiwabongo

Nimependeza jamani, uongoohh

Utalijua JIJI (Is up to U)

Wabongo mmenikubali 'You Tanzanians, have u appreciated my art"

Hii inaitwa namba nane, kama hutaki chukua time

Mwanamke urembo bwana (Make-ups change ladies)

Kila munu ave na kwao 'Everyone has got his home'

Ninavutia jamani au mnaonaje

Endeleeni kukodolea madentiwabongo( keep watching this site)

Nani kaiona jana

otea humu tumo ndani ya nini!!

Makamuzi ya mwaka (cerebretion of the year)

Nimejificha, naogopa wakware

mavazi na sura yangu vimetulia, au sio

check rings, kama waweza kanunue

Vipi pozi hili, limetulia!!!??

Sasa hivi nimezeeka, enzi zangu....

Iga ufe kuhusu hiki kitovu changu

fikiri kabla ya kutenda 'think before u leap'

Mwanamke hips, hata hivyo zangu zanitosha mwenyewe

Nikilala naota kama waniita (when i sleep, i dream you are calling me)

sema mwenyewe hapo, mawazo

Ushawahi lalia godoro kama hili weye!!! kodoa mimacho tuh

Tutaonana wabaya ayaahh( Im fair, is it?!)

Huku ndiko kujishebedua, UTALIJUA JIJI

Check figure yangu, imetulia eeh

Madenti wa bongo inatisha!! (This site is fantastic)

Pozi limetulia, unasemaje?!

Mwanamke jino babu



KAMUA TU HAPA NI MPAKA UKOME MWENYEWE